Habari za Punde

Mchezo wa Fainali Kombe la FA Kati ya Timu ya JKU na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Wiki Iliopita Timu ya Malindi Imeshinda Kwa Peneti 4 -3.Mxu

Kocha Mkuu wa Timu ya Malindi Zanzibar Abdulghani Msoma akifuatilia mchezo wa Fainali ya Kombe la FK kati ya Timu na Timu ya JKU uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare bila ya kufunga katika kipidi cha kawaida na kuongezwa dakika 30 hajapatikana mshini  na kuamuliwa  kupigwa kwa Penenti Timu ya Malindi imeshinda 4 -3.
Timu ya Malindi imefanikiwa kupata Tiketi ya kushiriki Michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kushinda mchezo huo wa fainali.
Mshambuliaji wa Timu ya JKU akijaribu kumpita beki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Michuano ya Kombe la FA uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.