Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Zanzibar Wakiwa Katika Harakati za Kununua Futari Katika Marikiti Kuu ya Darajani.

Wanchi wakiwa katika harakati za kujinunulia futari katika Marikiti Kuu ya Darajani Zanzibar, kama walivyokutwa na kamera yatu wakiwa katika marikiti hiyo,chana moja ya ndizi ya mtwike imeuzwa kati ya shilingi 2000/ na 4000/ kutegemeana na ukubwa wake.
Mfanyabiashara katika marikiti kuu ya Darajani akiwasubiri wateja wa bidhaa hizo, fungu moja la Majimbi linauzwa shilingi 5000/ na fungu la viazi 2000/- na 5000/ kama alivyokutwa na kamera yetu akiwa katika eneo hilo akisubiri wateja wa bidhaa hizo. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.