Ina lilahi wa ina illahi rajiuun Nd. Abdallah Waziri amefariki sasa hivi emergency Mnazi. Allah amsamehe madhambi yake, amuondoshee adhabu ya kabri na amuweke mahali pema peponi. Ameen
Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho katika Masjid Noor Muhammud Kwa Mchina Zanzibar saa. nne na kuzikwa Kijiji kwao Muyuni Wilaya ya Kati Unguja
No comments:
Post a Comment