Habari za Punde

Kijiji cha SOS Kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani Kwa Tamasha la Michezo Zanzibar.

Mkurugenzi wa SOS Asha Salim Ali katikati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar kuhusu kukamilika Maandalizi ya Tamasha la michezo la Watoto, kesho kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani litakalofanyika katika viwanja vya SOS  Mombasa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.