Habari za Punde

Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Seif Bausi na Othman Abdalla Foreman Kushuhudia Michuano ya Fainali ya Afcon Nchini Misri

Wachezaji wawili wa zamani waliowahi kuchezea mashindano ya Afcon katika timing ya Tanzania waenda Misri kuangalia michuano hiyo. 

Michuano hiyo itakayoanza Juni 20 mwaka huu, ambapo wachezaji hao watasafiri Juni 21 mwaka huu. Wachezaji hao ni Seif Nassor Bausi na Othman Abdalla Ali 'Foreman' wamepata.ufadhili kupitia Taasisi ya mimi.na.wewe Foundationi iliyo chini ya Mwenyekiti wake RC Ayuob Mohammed Mahmoud watakaa huko kwa muda wa siku 10.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.