Habari za Punde

WAZIRI MKUU NA MKEWE WAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGAKURA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Vijiji utakaofanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mkuu alijiandikisha kwenye kituo cha shule ya msingi Nandagala iliyopo kitongoji cha Nanguruwe, Kata ya Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi. Oktoba 19, 2024 Kushoto ni Afisa Uandikishaji Bw. Alexander Mmole.

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Marry Majaliwa akijiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Vijiji,  utakaofanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mkuu alijiandikisha kwenye kituo cha shule ya msingi Nandagala iliyopo kitongoji cha Nanguruwe, Kata ya Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi. Oktoba 19, 2024 Kushoto ni Afisa Uandikishaji Bw. Alexander Mmole.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Vijiji,  utakaofanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mkuu alijiandikisha kwenye kituo cha shule ya msingi Nandagala iliyopo kitongoji cha Nanguruwe, Kata ya Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi. Oktoba 19, 2024 Kushoto ni Afisa Uandikishaji Bw. Alexander Mmole (Picha Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.