Habari za Punde

Uzinduzi wa kamati ya mashauriano shehia ya Makangale Wilaya ya Micheweni


WANANCHI wa shehia ya Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa kamati ya mashauriano ya shehia hiyo, ambayo itaoredhesha vipaombele vya wananchi na ambao itaweza kusaidia wananchi hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 MRATIB wa Milele Zanzibar Foundation Pemba Abdalla Said Abdalla, akizungumza na wananchi wa shehia ya Makangale Wilaya ya Micheweni, mara baada ya uzinduzi wa kamati ya mashauriano ya siku sita itakayoweza kukusanya maoni ya wananchi wa shehia hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba Salama Mbarouk Khatib, akizungumza na wananchi wa shehia ya Makangale wilaya hiyo, mara baada ya kuzindua kamati ya mashauriano ya siku sita ya shehia hiyo ambayo itaoredhesha changamoto zinazowakabili wananchi wa shehia hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MRATIBU wa Miradi ya Jamii Kutoka Milele Zanzibar Faoundation Alecy Musshi, akizungumza na wananchi wa shehia ya Makangale Wilaya ya Micheweni mara baada ya kuzindulikwa kwa kamati ya mashauriano ya shehia.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MMOJA ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Milele Zanzibar Faoundation aliyejulikana kwa kwa jina la Fatma Khamis, akiandika baadhi ya mapedekezo yaliyotolewa na wananchi wa shehia ya Makangale Wialya ya Micheweni, mara baada ya kuzinduliwa kwa kamati ya mashauriano ya shehia hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MMOJA wa wananchi wa shehia ya Makangale akitoa maoni yake kwa kamati ya mashauriano, ambayo imeundwa kwa ajili ya kusikiliza vipaombele vya wananchi wa shehia hiyo na kuviwasilisha kwa Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.