Habari za Punde

Viongozi wa Mbalimbali na Marais Wastaaf Wahudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar Viwanja vya Maisara Suleiman Unguja.t

Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume akisalimiana na Makamu wa Rais wa Chama cha Maskauti Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar. 
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe,.Dkt.Amani Abeid Karume akifungwa kiskafu na Kijana wa Skauti alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Tanzania Mstaaf Mhe,.Dkt, Mohammed Gharibi Bilal akifungwa kiskafu na Kijina wa Skauti alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skaut Zanzibar yaliofanyika Kitaifa Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akisalimiana na Kiongozi wa Skauti Zanzibar Bi. Amina Clement alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akifungwa Skafu na Kijana wa Skauti alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria hafla ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said akifungwa kiskafu na Vijana Skauti alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.