Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Mpango Awasilisha Bungeni Hali ya Uchumi (2018) na Mpango wa Maendeleo ya Taifa (2019/2020)

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa pili kulia walioketi mbele) akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania-BOT, Prof. Florens Luoga (kulia kwake) wakati Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) alipoiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)  baada ya  kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiteta jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) mara baada ya Wizara kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb),  (kushoto), akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Bungeni Jijini Dodoma wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) alipo wasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Adelardus Kilangi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto alieipa mgongo kamera), akiwaongoza baadhi ya Mawaziri na Wabunge kumpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020 bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati), akipongezwa na baadhi ya Wabunge nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kuwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020 bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na  familia ya  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania-BOT, Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) baada ya  kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
 (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.