Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Azindua Mradi wa Maji Safi na Salama Katika Nyumba Mpya za Askari Polisi Mahonda


Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi  Seif Ali Idd, akifungua bomba kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la  Mahonda, Mkoa wa  Kaskazini UngujaAliyevaa koti ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi  Seif Ali Idd, akimtwisha ndoo ya maji mwananchi wa Mahonda baada ya  Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la  Mahonda, Mkoa wa  Kaskazini Unguja.Katikati  ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi  Seif Ali Idd(kulia), akifurahia baada ya  kumtwisha ndoo ya maji mwananchi wa Mahonda baada ya  Uzinduzi wa Mradi wa Maji kwenye Eneo la Nyumba za Polisi, zilizoko katika Jimbo la Mahonda, Mkoa wa  Kaskazini Unguja.Wapili kulia   ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.