Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samiha Suluhu Hassan Afunga Mafunzo ya Saba ya Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza  maandamano  kwa Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na  Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam Luteni Jeneral  Paul Peter Massao wakati wa Mahafali ya Saba ya Chuo Hicho 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo kwa Wahitimu wa Mahafali ya Saba wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti  Mindi H. P. Kasiga Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Brigedia General Mohamed Ahmed Montaser  kutoka  Egypt  ambae ni Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akikmabidhi Cheti Zhao Zishun kutoka China ambae ni Mmoja kati ya Wahitimu  wa Mafali ya Saba ya Chuio cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi Jijini Dar Es salaam.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na na Viongozi na Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na CDF Mstaafu George Waitara walipokutana kwenye Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumpongeza  Mindi H. P. Kasiga Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali  ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi  Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.