Habari za Punde

Naibu Waziri Shonza Apongeza Uongozi wa Kanisa la Baptist

Kwaya ya Kanisa la Baptist kutoka Marekani ikiimba wimbo wakumsifu mungu katika Tamasha la Michezo lililoandaliwa na Kanisa hilo leo katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro .
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza (kushoto) akimkabidhi zawadi ya mchezaji bora mchezaji kutoka Timu ya Yanga  Mrisho Ngassa (kulia) mara baada kumalizika kwa mechi ya Tamasha la Michezo lililoandaliwa na Kanisa la Baptism la mkoa huo nakufanyika leo katika uwanja wa Jamhuri.
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza akimkabidhi kocha wa timu ya Mawenzi Market  (ambaye jina lake halikufamika) zawadi ya mchezaji bora wa timu hiyo kwa niaba ya mchezaji huyo mara baada ya kumalizika kwa mechi yao iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro,katikaTamasha  la Michezo lililokuwa limendaliwa na kanisa la Baptist la Mkoani huo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.