Habari za Punde

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta Amaliza Ziara Yake Binafsi ya Siku Mbili Chato Mkoani Geita Nakurejea Nchini Kwake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mgeni wake Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta  ambaye aliambatana na ujumbe wake kutoka Kenya katika ziara yake binafsi ya siku mbili katika kijiji cha Mlimani Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta kabla ya kuondoka katika kijiji cha Mlimani Chato na kurejea nchini kwake Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta kabla ya kuondoka katika kijiji cha Mlimani Chato na kurejea nchini kwake Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimpungia mkono mgeni wake Rais wa Kenya Mhe.Uhuru Kenyatta wakati akipanda katika ndege kurejea nchini Kenya.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.