Habari za Punde

Watanzania Uingereza Wachagua Viongozi wa Jumuiya Yao ya - ATUK (Association of Tanzanians UK)


Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Uingereza  ya ATUK baada ya kuchaguliwa kuongoza jumuiya hiyo  katika Mkutano Mkuu uliofanyika hivi karibuni.
Mtanzania Joe Warioba akipiga kura yake wakati wa uchaguzi Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika hivi karibuni na kupata Viongozi wepya kuongoza jumuiya hiyo.
Mgombea Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Uingereza kutoka Wales Ndg.Sam Mbogo, akijieleza na kuomba kura kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo wakati wa Mkutano wao Mkuu uliofanyika hivi karibuni.
Warioba, Mpangala, Mzuwanda na Kamuhanda wa East African
Alex Masuguri mmmoja wa wasimamizi wa tukio - pic by F Macha 2019 (1)
Ukumbi umejazana Watanzania toka sehemu mbamlimbali Uingereza- pic by F Macha 2019
Mwenyekiti mpya Martha Mpangile na Lucy Shigikile- pic by F Macha 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.