Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Jijini Dar es Salaam Kuhudhuria Hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kuhudhuria katika Maadhimisho ya Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini Mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijinin Dar es Salaam.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Damas Daniel Ndumbaro, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya ufunguji wa Wiki ya Nne ya Maonesho ya Viwanda ya SADC Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.