Habari za Punde

Ziara ya Mabalozi wetu Zanzibar Kutembelea Miradi ya Maendfeleo na Vyanzo Vya Utalii Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Nchi za Nje wakiwasili katika Bandari ya Zanzibar kwa Boti ya Kampuni ya Azam ya Kilimanjaro kwa ziara Maalum kutembelea Zanzibar. kushoto Meya wa Manispa ya Zanzibar Mstahiki Meya Khatib Abdurahaman Khatib. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.