Habari za Punde

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wakiwa Katika Zoezi la Ukaguzi Vyombo Vya Moto.

Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani Visiwani Zanzibar wakiwa katika zoezi la ukaguzi wa vyombo vya moto katika eneo la barabara ya bububu Unguja kama walivyokutwa na camera yetu wakiwa kazini. katika zoezi hilo la ukuguzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.