Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Ali Mohamed Shein, Azungumza na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania.Profesa Lucas Domingo Hemandez Polledo,alipofika Ikulu Zanzibar na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Cuba. Mhe. Marcelino Medina Gonzelez,akiwa (katikati) hafla hiyo imefanyika leo,8,Septemba 2019 Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba.Mhe. Marcelino Medina Gonzalez,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika mazungumzo na mgeni wake, Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Mhe. Marcelino Medina Gonzalez, kushoto Balozi Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Profesa.Lucas Damingo Hemandez Polledo,hafla hiyo imefanyika leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Naibu Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba. Mhe. Marcelino Medina Gonzalez, wakitoka katika ukumbi wa Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. akiagana na mgeni wake Naibu Waziri wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jmhuri ya Cuba.Mhe. Marcelino Medina Gonzalez, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo 8,Septemba.2019.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.