Habari za Punde

SUZA Yaadhimisha Mafanikio ya Toka Kuanzishwa Kwake Zanzibar Mwaka 1999 Hadi leo 2019.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha  Cheti cha Utambuzi na Uthibati, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma kushoto kwa Rais, anayefuata ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa Mhe.Said Bakari Jecha na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kulia kwa Rais Makamu Mkuu wa SUZA Dk. Zakia Mohammed Abubakar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA Wilaya ya Kati Unguja
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.