Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni, akisalimiana na Rais wa UTPC Ndg. Deogratias Nsokolo. kuhudhuria hafla hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa UTPC , uliofanyika Zanzibar leo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania wakiwa wamesimama wakati akiwasili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania.Mhe.Anders Sjoberg, alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa UTPC , Uliofanyika Zanzibar leo.akiwa na Viongozi wa meza kuu. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania wakiwa wamesimama wakati akiwasili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania wakiwa wamesimama wakati akiwasili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC Ndg. Abubakar Karsan, akitowa maelezo ya Mkutano Mkuu wa UTPC, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UTPC wakifuatilia mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Rais wa UTPC Ndg. Deogratias Nsokolo akizungumza na kutowa salamu za UTPC , wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu , uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, kabla ya kumkaribisha Waziri wa Habari Utalii Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, kuzungumza na kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo.
Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa UTPC uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UTPC, kutoka Press Club Pemba wakifuatilia mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Waziri wa Habari Utalii Sanaa na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa hafla ya mkutano Mkuu wa UTPC uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua mkutano Mkuu wa UTPC, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.