Habari za Punde

Wanafunzi Walioshinda Mdahalo wa Umuhimu wa Ulipaji Kodi Zanzibar Wazawadia Zawadi Zao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti mshindi wa Mdahalo wa juu ya Umuhuni wa Ulipaji wa Kodi Zanzibar, Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Field Castro Pemba.Is-Haka Ali Dadi , wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 20 tangu kuazishwa kwa Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Bodi ya Mapato Zanzibar mazizini Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti mshindi wa Mdahalo wa juu ya Umuhuni wa Ulipaji wa Kodi Zanzibar, Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari yaBen Bella Zanzibar.Khairia Mnyanja Simai. wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 20 tangu kuazishwa kwa Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Bodi ya Mapato Zanzibar mazizini Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.