Mchezaji wa Timu ya Africa Magic akiwa na mpira akimpita mchezaji wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wa kuwania Kombe la Karume Cup, yanayofanyika katika uwanja Mao Zedong Zanzibar Timu ya Africa Cup imeshinda kwa vikapu 56 -49.
Elimu : Awamu ya Sita Yaipiga Jeki Elimu, Walimu Wapongezwa Arusha
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya
maboresho makubwa katika sekta ya elimu mkoani Aru...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment