Habari za Punde

Maadhimdhimisho ya Siku ya Wazee Zanzibar Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.

Wazee wakiwa kaitika viwanja vya Mao Zedong Zanzibar kisoma ratiba wakati wa Bonaza la Wazee kuadhimisha Siku ya Wzee Duniani kwa michezo mbalimbali iliofanyika katika Uwanja huo leo, na kudshirtikisha mchezo wa mpira, kuvuta kamba, kufukuza kuku, mchezo wa bao la kete na karata lililowashirikisha Wazee kutoka Mikoa Mitatu ya Unguja.
Wazee wakiwa kaitika viwanja vya Mao Zedong Zanzibar kisoma ratiba wakati wa Bonaza la Wazee kuadhimisha Siku ya Wzee Duniani kwa michezo mbalimbali iliofanyika katika Uwanja huo leo, na kudshirtikisha mchezo wa mpira, kuvuta kamba, kufukuza kuku, mchezo wa bao la kete na karata lililowashirikisha Wazee kutoka Mikoa Mitatu ya Unguja.
Mrati wa Bonaza la Michezo ya Wazee Ndg Mwalim Ameir akisoma ratiba ya Michezo ya Bonaza hilo katika viwanja vya Mao Zedong Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Bi. Mwanajuma Majid, akiwasilisha Salamu za Wizara wakati wa Bonaza hilo lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar, kwa michezo mbalimbali.
Mwenyekiti wa Kimkikiwa Zanzibar Jaji Bakari Mshibe akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Wazee kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani lililofanyika katika Viwanja vya Mao Zedong Zanzibar, kwa kuwasahirikisha Wazee katika michezo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe. Shadya Mohammed akihutubia wakati wa kulifungua Bonaza la Michezo la Wazee kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong, kwa michezo mbalimbali, ikiwemo ya kufukuza kuku, kuvuta kamba, mchezo wa bao la kete, Karata na mchezo wa mpira wa miguu.
Wazee kutoka Mikoa Mitatu ya Unguja wakifuatilia hutuba ya Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar. Mhe. Shadya Mohammed akifungua michezo ya Bonaza la Wazee katika viwanja vya Mao Zedong Zanzibar.
Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe.Shadya Mohammed akimkabidhi seti ya jezi Mwakilishi wa Timu ya Kombaini ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa ajili ya mchezo wao na Timu ya Kombaini ya Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja wakati wa Bonaza la Wazee lililofanyika leo katika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.
Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar.Mhe.Shadya Mohammed akimkabidhi seti ya jezi Mwakilishi wa Timu ya Kombaini ya Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja kwa ajili ya mchezo wao na Timu ya Kombaini ya Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja wakati wa Bonaza la Wazee lililofanyika leo katika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.