Habari za Punde

Mkutano wa wadau juu ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wanawake Zanzibar wafanyika Pemba

 BAADHI ya wafanyabiashara wanawake Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini mkutano wakukusanya maoni juu ya uwanzishwaji wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wanawake Zanzibar, huko katika ukumbi wa Mkonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Bishara na Viwanda Zanzibar Khadija Khamis Rajab, akifungua mkutano wa wadau juu ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wanawake Zanzibar, huko katika ukumbi wa Mkonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 MJUMBE wa  kamati ya ufatiliaji, Sera na Utafiti Fatma Mbarouk, akiwasilisha mada umuhimu wa kuanzishwa kwa Jumuiya ya Wafanyabiashara wanawake Zanzibar, huko katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MRATIB wa Jumuiya ya wafanyabiashara  wenye viwanda na wakuliza ofisi ya Pemba, Halfan Amour Mohamed akizungumza wakati wamkutano wa kukusanya maoni  kwa wafanyabiashara wanawake Kisiwani Pemba, juu ya uwanzishwaji wa jumuiya ya wafanyabiashara wanawake Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Khadija Khamis Rajab, akiwa na Afisa Mdhamini Wizara ya biashara na Viwanda Pemba Ali Suleiman Abeid, pamoja na mratibu wa Chamber Of Commerce Pemba Khalfan Amour wakifuatilia uwanzishwa wa Jumuiya ya wafanyabiashara wanawake Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.