Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa taulo za kike
(Uhurupads) uliofanyika katika shule ya sekondari Moshono leo jijini Arusha.
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na wanafunzi wa shule
ya sekondari Moshono leo jijini Arusha.
Mwenyekiti na
Mwendeshaji wa Shindano la Miss World Bi Julia Morley (kushoto) akisisitiza kufurahishwa
kwake na hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania ambapo ni mara ya kwanza
kwake kuja nchini. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe.
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na Miss World 2018 Vanessa Ponce kutoka Mexico (kushoto) na Miss
Tanzania 2019 Sylivia Sebastian (kulia).
Miss World 2018
Vanessa Ponce kutoka Mexico (kushoto) na Miss Tanzania 2019 Sylivia Sebastian
(kulia) wakiwa katika moja ya matukio wakati wa uzinduzi wa taulo za kike
(Uhurupads) uliofanyika katika shule ya sekondari Moshono leo jijini Arusha.
Miss Tanzania 2019
Sylivia Sebastian (kulia) akisistiza jambo wakati wa uzinduzi wa taulo za kike
(Uhurupads) uliofanyika katika shule ya sekondari Moshono leo jijini Arusha.
Miss World 2018
Vanessa Ponce kutoka Mexico akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa taulo za
kike (Uhurupads) uliofanyika katika shule ya sekondari Moshono leo jijini
Arusha.
Miss Tanzania 2019
Sylivia Sebastian (kulia) akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa taulo za kike
(Uhurupads) uliofanyika katika shule ya sekondari Moshono leo jijini Arusha.
Miss World 2018
Vanessa Ponce kutoka Mexico (kushoto) na Miss Tanzania 2019 Sylivia Sebastian
(kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa taulo za kike (Uhurupads)
uliofanyika katika shule ya sekondari Moshono leo jijini Arusha.
(Picha na Eleuteri
Mangi, WHUSM, Arusha)
No comments:
Post a Comment