Habari za Punde

Mchezo wa Ligi ya Kombe la Muungano Kati ya JKT Makotopora na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya JKT Imeshinda Kwa Bao 60-45.PORA k

Mchezaji wa Timu ya JKT na Zimamoto wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Muungano uliofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar Timu ya JKT imeshinda mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Gymkhana kwa bao.60-45. 






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.