Habari za Punde

Mlinda Mlango wa Zamani wa Zanzibar na Timu ya Taifa ya Tanzania Kocha Ali Bushiri Awanoa Wachezaji Chipukizi Kupitia Kituo cha Youth Football Development Academy Viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Small Simba Kocha na Taifa Stars kipa mashuhuri Zanzibar kwa umaarufu Bush  akiwanoa Wachezaji Chipukizi Zanzibar kupitia Kituo cha Michezo cha Youth Footbal Development Academy Zanzibar katika viwanja vya maisara Uwanja wa Nyuki, Kituo hicho hutowa mafunzo ya wachezaji wa mpira wa miguu kuazia umri wa miaka 7 hadi 16 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.