Habari za Punde

Boti Mpya ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar ZAFICO. Yazinduliwa leo

Muonekano wa Boti Mpya ya Uvuvi ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar(ZAFICO) ikiwa katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati wa hafla ya sherehe ya Uzinduzi wa Boti hiyo iliofanyika leo katika eneo la Bahari ya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Boti Tatu Mpya za Kisasa za Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar kwa ajili ya kufanyika Doria katika Bahari za Unguja na Pemba katika bahari kuu kuzuiya uvuvi katika bahari Kuu ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.