Habari za Punde

Kuelekea mwaka mpya biashara ya mitumba yashamiri Chake chake

 KATIKA kipindi hiki cha kuelekea Mwaka mpya wa 2020 biashara ya nguo za mitumba katika maeneo ya mji wa Chake Chake zimeonekana kushamiri kwa kasi, pichani baadhi ya wananchi wakichagua nguo hizo
.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.