Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ruangwa, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015/2020,
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015/2020
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ruangwa, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015/2020, Desemba 29, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment