Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

IKIWA  siku za wanafunzi kuripoti skuli kwa ajili ya  muhula wa kwanza wa masomo wa Januari umekaribia, pichani biashara ya mikoba ya skuli na viatu kwa wanafunzi zimekuwa zikishamiri kwa kiasi kikubwa katika eneo la Jua kali Chake Chake. 
MKURUGENZI wa Taasisi ya Green Light Foundation Zaznibar Salum Mussa Omar, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kituo cha Afya cha Ihsaan Medical Clinic kilichopo Madungu Chake Chake Pemba.
(Picha na Abdi  Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.