Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda Kivuko kuelekea  Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na familia ya watalii ya klutoka Ufaransa ya Bw. Arnaud de Vanssay  aliokutana nao wakati akitembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na familia ya watalii ya klutoka Ufaransa ya Bw. Arnaud de Vanssay  aliokutana nao wakati akitembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo  Jumanne 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakielezwea jambo kuhusu sehemu ya Ziwa Victoria na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo 

Sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo kama inavyoonekana kutoka angani leo Jumanne Desemba 31, 2019
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.