Habari za Punde

TAKWIMU ZA UINGIAJI WA WAGENI ZATOLEWA ZANZIBAR.

Afisa masoko Mwandamizi Kamisheni ya Utalii Maabad Jaffar Muhiddini akijibu maswali ya Waandishi katika Mkutano wa utoaji wa Takwimu za Uingiaji wa Wageni nchini ambapo imeonekana kuongezeka kutotaka wageni 39,713 kwa mwezi wa Novemba 2018 hadi 47,824 Novemba 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Mkaguzi Msaidizi Uhamiaji Gerad Moses Mwasambili akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa na Waandishi  katika Mkutano wa utoaji wa Takwimu za Uingiaji wa Wageni nchini ambapo imeonekana kuongezeka kutotaka wageni 39,713 kwa mwezi wa Novemba 2018 hadi 47,824 Novemba 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa utoaji wa Takwimu za Uingiaji wa Wageni nchini ambapo imeonekana kuongezeka kutotaka wageni 39,713 kwa mwezi wa Novemba 2018 hadi 47,824 Novemba 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai -Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.