Habari za Punde

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Wawasili Kisiwani Pemba Kwa Maandalizi ya Michuano ya Chalenji Yatakayofanyika Nchini Uganda.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Sulleiman Abdalla akiwapokea  Viongozi na Wachezaji wa  Timu ya Taifa ya Zanzibar " Zanzibar Heroes' waliyowasili katika Kiwanja cha Ndege Kisiwani Pemba kwa ajili ya kushiriki  Mechi ya Mpira kisiwani humo.
Wachezaji wa Timuya Taifa ya Zanzibar  "Zanzibar Heroes' akiteremka katika  Ndege mara baada ya kuwasili katika Kisiwa cha Pemba kwa ajilim ya kushiriki katika Mechi ya mpira wa Miguu Kisiwani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Sulleiman Abdalla akiwapokea  Viongozi na Wachezaji wa  Timu ya Taifa ya Zanzibar " Zanzibar Heroes' waliyowasili katika Kiwanja cha Ndege Kisiwani Pemba kwa ajili ya kushiriki  Mechi ya Mpira kisiwani humo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.