Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe Mahmoud Thabit Kombe Atembelea Idara za Wizara Yake Pemba.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akipatiwa maelezo na Mwendeshaji wa Kampuni ya Shamjoco (ltd) Ndg.Mansour Mohammed Kassim kuhusu ramani ya ujenzi wa Gofu la Mkamandume wakati alipotembelea, Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni shamra shamra ya miaka 56 ya Mapinduzi (kushoto) Mkuu wa Idara ya Makumbushona Mambo yakale  Pemba.Ndg.  Khamis Ali Juma. 
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Mwendeshaji wa Kampuni ya Shamjoco (ltd) Ndg.Mansour Mohammed Kassim akimsikuliza wakati akitoa maelezo kuhusu kisima cha wake wenza jinsi walivyokuwa kikituwa wakati wa mahitaji yao ikiwa ni shamra shamra ya miaka 56 ya Mapinduzi .
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo wa kwanza kushoto  akipatiwa maelezo na Mkuu wa Idara ya Makumbusho na Mambo ya kale  Pemba.Ndg.  Khamis Ali Juma wakati alipofanya ziara ya kutembelea Mto wa Mkamandume  ikiwa ni shamra shamra ya miaka 56 ya Mapinduzi.
Mratibu wa Shirika la Utangazaji Pemba Abdalla Abeid Hamad akitowa maelezo kwa Waziri wa Hbari Utalii na Mambo ya kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakati alipotembelea Studio ya (ZBC) Television iliyopo Mkoroshoni Chakechake Pemba ikiwa ni shamrashamra ya miaka 56 yq Mpapinduzi.
                    Picha na Miza Othman- Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.