Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Kati ya FC Dira na Rangers Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong. Timu ya Rangers Imeshinda Mchezo Huo Kwa Bao.2-0.

Beki wa Timu ya FC Dira akimshika jezi mshambuliaji wa Timu ya Rangers wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Daraja la Pili Wilaya ya Mjini  mchezo uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong. Timu ya FC Dira imeibuka kidedera katika mchezo huo kwa ushindi wa bao 2-0. 
Kipa wa Timu F C.Dira akigaragara chini baada ya kushindwa kuokoa mpira na kuingia golini ikiwa ni bao la kwanza kwa Timu ya Rangers mchezo uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.