Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Wasanii Mbalimbali wa Zanzibar Katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo. 12/3/2020.,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuzungumza na Wasanii na Wabunifu mbalimbali wa Zanzibar (kushoto kwa Rais) Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Lulu Msham Abdalla, wakielekea katika ukumbi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Msanii Mkongwe wa michezo ya kuigiza Bi. Mwema Khamis (Maarufu Bi. Njiwa) wakati wa hafla ya mkutano na Wasanii mbalimbali wa Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuzungumza na Wasanii mbalimbali wa Zanzibar. 
Baadhi ya Wasanii wa Taarab, Maigizi na Watunzi wa Vitabu wakiwa wamesimama wakati wa kuingiua kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na kuzungumza na Wasanii mbalimbali wa Zanzibar. 
Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar akizungumza na Wasanii wa Zanzibar kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wasanii mbalimbali wa Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wasanii na Wabunifu wa Zanzibar katika mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 
Baadhi ya Wasanii na Wabunifu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akiwahutubia katika mkutano wake na Wasanii hao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Ma;pinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akiwahutubia katika mkutano wake na Wasanii hao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 
Mwandishi wa Habari Mkongwe Zanzibar na Mtunzi wa Vitabu Ndg. Khamis Shaban akizungumza wakati wa mkutano huo na Rais wa Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 
Msanii wa michezo ya kuingiza Zanzibar Ndg. Sabri Farid Ali akizungumza wakati wa mkutano huo kuhusiana na kuendeleza vipaji kwa Vijana katika fani ya uigizaji. Baadhi ya Wasanii na Wabunifu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akiwahutubia katika mkutano wake na Wasanii hao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.