Habari za Punde

Matukio ya Picha Mitaani Unguja.

Wasamaria wakimsaidi mjasiriamali aliyepata ajali ya kuanguka na pikipiki yake akiwa na tenga la mikate mkatika makutano ya barabara ya mkunazini na michezani kama wanavyoonekana wakiwa katika zoezi hilo, ajali hiyo imetokea juzi  mpanda pikipiki huyo hajapata madhara katika tukio hilo la ajali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.