Habari za Punde

Co-operative Society tawi la Kichungwani latoa msaada wa mashine ya kunawia soko la Tibirinzi ChakechakeKAIMU mwenyekiti wa soko la Tibirinzi Chake Chake Pemba Maulid Hamdu (kulia) akitoa neneo la shukurani kwa mwenyekiti wa vijana wa UVCCM MKoa wa kusini Pemba, Juma Kheir mara baada ya kukabidhiwa kwa vifaa vya kunawia mikono, vilivyotolewa na mradi wa vijana Co-operative Society kupitia udhamini wa umoja wa vijana CCM Tawi la Kichungwani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
MFANYABIASHARA wa Soko la Tibirinzi Chake Chake Pemba Kassim Kishuka, akinawa mikono katika mashine maalumu ambayo utoaji wake wa maji na dawa unakanyaga kwa miguu bila ya kutumia mikono, vifaa hivyo vilivyotolewa na mradi wa vijana Co-operative Society kupitia udhamini wa umoja wa vijana CCM Twi la Kichungwani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.