Habari za Punde

Jimbo la Uzini lapokea msaada wa vyakula kwa waathirika wa maafa ya mvua

 Upokeaji wa vyakula vya msaada kwa wahanga walioathirika na maafa Jimbo la Uzini ulipowasili hapo Halmashauri kwa ajili ya kugawiwa kwa waathirika wa maafa ya mvua za hivi karibuni

Gari la misaada likijiandaa kushusha sehemu ya misaada hiyo afisi za Halmashauri ya Wilaya ya kati

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.