Habari za Punde

Katibu wa NEC idara ya Organaizesheni ya CCM achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM, ni mtia nia wa 27

 KATIBU wa NEC, Idara ya Oganaizesheni ya CCM Taifa, Pereira Ame Silima,akitia saini kwenye daftari la watia nia hapo Ofiosi KUU ya CCM Zanzibar leo
 KATIBU wa NEC, Idara ya Oganaizesheni ya CCM Taifa, Pereira Ame Silima,Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ametimiza idadi ya wagombea 27


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.