Habari za Punde

Maandalizi ya Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Kisasa Binguni Umeaza Kwa Kusafisha Eneo Hilo.

Eneo la Mradi wa Hospitali ya Kisasa Binguni Wilaya ya Kati Unguja likiwa katika matayarisho ya kuaza kwa ujenzi huo unaotarajiwa kuaza ujenzi huo hivi karibuni.

Hivi ndivyo itakavyokuwa baada ya kukamilika Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Kisasa Binguni Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukamilika ujenzi huo wa Kituo cha Utafiti na Hospitali Kuu ya Kisasa, inayojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.