Habari za Punde

Makada wa CCM Dk Khalid Salum Mohammed na Rashid Ali Juma warudisha fomu

 KADA wa Chama cha Mapinduzi CCM, na Mwakilishi wa Jimbo la Donge, Dk. Khalid Salum Mohamed, akirudisha fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Rais wa Zanzibar, kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, baada ya kukamilisha zoezi zima la ujazaji wa fomu hizo.
MWAKILISHI wa Jimbo la Amani na Kada wa CCM, Rashid Ali Juma (kulia) akirudisha fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Rais wa Zanzibar, kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, baada ya kukamilisha utaratibu wote wa ujazaji wa fomu hizo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.