Habari za Punde

Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa arudisha fomu za kugombea Urais Zanzibar

Waziri wa maji wa SMT Prof Makame Mbarawa akimweleza jambo Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha  fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Waziri wa maji wa SMT Prof Makame Mbarawa akikabidhi fomu kwa Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha  fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Waziri wa maji wa SMT Prof Makame Mbarawa akuiongea na wanahabari baada ya kurudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CCM 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.