Habari za Punde

Mussa Aboud Jumbe nae ajitosa mbio za kugombea Urais Zanzibar ni mwanachama wa 30

MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mussa Aboud Jumbe, akipokea mkoba wenye fomu za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zazibar, kutoka kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, hapo ofisi ya chama Kisiwandui Mjini Unguja (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.