Habari za Punde

Rais Dk Shein mgeni rasmi katika ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati

Jengo jipya la Wizara ya  Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati(ZURA)lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein Maisara mjini Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 26/06/2020.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe  kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 26/06/2020.
  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na  Waziri wa Wizara ya  Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Twalib (kulia)  Mkurugenzi Mtendaji wa ZURA  Nd,Haji Kali Haji (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali Khalil Mirza wakati  alipotembelea sehemu mbali mbali za  jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati mara baada ya kulifungua jengo hilo leo liliopo  Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 26/06/2020.
 .Rais    wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa ZURA  Nd,Haji Kali Haji wakati alipotembelea  jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati mara baada ya kulifungua rasmi jengo hilo leo liliopo  Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 26/06/2020.
 Waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika  Ufunguzi wa Jengo jipya la  Wizara  ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  lililofunguliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  Maisara Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 26/06/2020.
 Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliohudhuria katika  hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la  Wizara hiyo lililofunguliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  Maisara Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 26/06/2020.
 Katibu Mkuu wa  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Nd.Ali Khalil Mirza alipokuwa akitoa taarifa ya kitaalam katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la  Wizara hiyo lililofunguliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  Maisara Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 26/06/2020.
 Waziri wa Wizara ya  Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Twalib alipokuwa akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kuzungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la  Wizara ya  Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati uliofanyika leo Maisara Mjini Zanziba,(kushoto) Mshauri wa Waziri Nd,Mwalimu Ali Mwalimu.[Picha na Ikulu.] 26/06/2020.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na Viongozi mbali mbali Wananchi na wafanyakazi wa  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla ufunguzi wa jengo jipya la Wizara hiyo leo Maisara Mjini Zanzibar,(katikati) Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Salama Aboud Twalib na Naibu wake Mhe.Juma Makungu Juma(kulia).[Picha na Ikulu] 26/06/2020.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi mbali mbali Wananchi na wafanyakazi wa  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla ufunguzi wa jengo jipya la Wizara hiyo leo Maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 26/06/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.