Habari za Punde

Msajili Wa Hazina Akutana Na Kamishna wa Maadili Kujadili Namna ya Kuimarisha Ushirikiano Baina ya Ofisi Hizo

 
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akimkabidhi Kamishna wa Maadili , Jaji Mstaafu Harold Nsekela Taarifa ya Mwaka ya Msajili wa Hazina kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Ofisi ya Msajili wa Hazina wakati wa kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo.
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam

Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka (Katikati) na Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu Harold Nsekela (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Ofisi hizo baada ya kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao kilichofanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.