Habari za Punde

NAMUNGO FC YAICHAPA MBEYA CITY 1-0

Mshambuliaji wa Mbeya City, Alibasilim Chidiebele akipiga shuti huku akizongwa na beki wa Namungo FC, Hamis Mgunya katika Mechi ya Ligi Kuu ya VODACOM Tanzania Bara iliyochezwa kwanye Uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Julai 15, 2020. Namungo FC ilishinda 1- 0.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.