Habari za Punde

Maziko ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania Benjamin Mkapa Kijijini Lupaso Mkoani Mtwara.

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mjane wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin Wiliam Mkap,Mama Anna Mkapa, wakielekea katika eneo la kaburi kwa ajili ya uwekaji wa mchanga.
MJANE wa Hayati Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa, akiweka mchanga katika kaburi baada ya kuwekwa mwili wa marehemu na kulia kwake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli.maziko hayo yamefanyika Kijiji kwao Lupaso Mkoani Mtwara 
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga katika kaburi lililokuwa na mwili wa Hayati Rais Mstaaf  wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020, Kijijini kwao Lupaso Mkoani MtwaraRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi lililokuwa na mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020  Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara.RAIS Mstaaf wa Awamu ya Pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Siti Mwinyi, wakiweka mchanga katika kaburi lililokuwa na mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania.Benjamin Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020 kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara
RAIS Mstaaf wa Awamu ya Nne  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkewe Mama Salma Kikwete, wakiweka mchanga katika kaburi lililokuwa na mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Tanzania.Benjamin Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020 kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara
RAIS wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Marais Wastaaf (kushoto kwa Rais) Rais Mstaaf wa Awamu ya Pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaaf wa Awamu ya Nnewa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakiweka maua katika kaburi la Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020, Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara
RAIS wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Marais Wastaaf (kushoto kwa Rais) Rais Mstaaf wa Awamu ya Pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaaf wa Awamu ya Nnewa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakiweka maua katika kaburi la Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020, Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein, akiweka maua katika kaburi la Hayati Rais Mstaaf  wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa yaliofanyika 29/7/2020 Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara.


SPIKA wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (kulia kwake) Naiubu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Tulia Ackson na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid wakiweka ua katika kaburi la hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa
JAJI Mkuu wa Tanzania Mhe Prof Ibrahim Hamis Juma na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiweka maua katika kaburi la Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa. Maziko yaliofanyika Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara.


MAWAZIRI wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiweka maua katika kaburi lililokuwa na mwili wa Hayati Rais wa Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Mkapa, maziko yaliofanyika 29/7/2020 Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara


WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakitowa heshima baada ya kumaliza kuwela maua katika kaburi lililokuwa na mwili wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa yaliofanyika Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara  
WANANCHI kutoka sehemu mbalimbali Nchini Tanzania wa wakifuatilia hafla ya maziko ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, yaliofanyika 29/7/2020, kijijini kwao Mkani Mtwara.
MJANE wa Hayati Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Willian Mkapa Mama Anna Mkapa, akisalimiana na kuagana na Viongozi Wakuu wa kwanza Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluh Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.