Habari za Punde

Watia nia CCM waanza kuchukua fomu kugombea nafasi za ubunge, uwakilishi

 MWANACHAMA wa CCM, Daud Mohamed Salum, (kushoto) akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kua Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, kutoka kwa Kaimu Katibu wa Wilaya ya Amani Kichama, Ashraf Saleh Zungo (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Omar Justasi Morris akimkabidhi fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa Ubunge Jimbo la Uzini, Kada wa  Chama Cha Mapinduzi Yussuf Suleiman Masoud, huko ofisi za CCM Wilaya ya Kati Dunga (PICHA NA AMEIR KHALID).
 MTIANIA kugombea kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa kusini Pemba Ruthi Fabian Pauhe, akikabidhiwa fomu na karani wa UWT Kusini Pemba Habiba Ali Nassor (PICHA NA ABDI SULEIMAN -  PEMBA).
MTIANIA kugombea nafasi ya kuteuliwa kuwa Mwakilishi Jimbo la Olei, Zaina Mbarouk Kitwana, (kulia) akipokea fomu ya kugombea nafasi hiyo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.